UBATIZO UNAOTAKIWA NI HUU
✍🏾✍🏾KWA HABARI YA UBATIZO ULIOAMRIWA NA YESU Mnazareth✍🏾✍🏾
Mch. Richard Kutoka MOROGORO VETA DAKAWA
Utangulizi↘
Ufafanuzi Kuhusu kuzaliwa kwa maji mistari. 3!6 "kilochozaliwa kwa mwili ni mwili kilochozaliwa kwa Roho ni Roho.
Roho ni Roho na mambo yake huenda kiroho ni
Mwili ni mwili na Mambo yake huenda kimwili
MAANA YA MANENO HAYA.
1!Maji=Mafundisho ya neno
2!Roho=Katika Roho Mtakatifu
3;Kuzaliwa=Kuwatoa kwenye fikira za kale damu na nyama nakuwaleta katika fikira za Rohoni.(kilochozaliwa kiroho ni Roho.
4;Kubatizwa; Kuwahubiria/Kuwashawishi watu
5;Wanafunzi; wafuasi WA Yesu mnazareth.
☝🏽☝🏽UTofauti ya watu walienda na Maandiko katika mwili nakujikuta Roho bado ikawa inapoteaa mkristo unamkuta kanisani yumo uchawi yeye ulevi yeye Uzinzi yeye kwakuwa Yupo kimwili Anaongozwa kimwili.
Yohana.3;1-10
Utabiri WA Yohana kuhusu Ubatizo WA Roho Mtakatifu Aliouleta Yesu WA Maji kuzikwa utu WA kale kwa maji Uliishia kwa Yohana mbatizaji
👇🏾👇🏾👇🏾
Mathayo.3;
Soma;
Agizo LA Yesu Kuhusu Kuwabatiza👇🏾👇🏾👇🏾
Matthew 28:18-20
Mathayo:28:18-20
[18]And Jesus came and spake unto them, saying, All power is given unto me in heaven and in earth.
☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽
[19]Go ye therefore, and teach all nations, baptizing them in the name of the Father, and of the Son, and of the Holy Ghost:
☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽
[20]Teaching them to observe all things whatsoever I have commanded you: and, lo, I am with you alway, even unto the end of the world. Amen.
☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽
na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
✍🏾✍🏾Nifuraha YANGU kumbwa kuona Neema Ya Bwana wetu Yesu kristo ikizidi kututawala nakutupigania mengi
Nami nikiugana nanyi katika Roho kuhakikisha Injili Yake inazidi kufungua mataifa mengi nakuwakomboa wengi ufahamu wao.
Ndugu zangu yafaa nini kwetu kuendeshwa na mwili Baadala ya Roho
Je Kwanini sisi watoto WA MUNGU hushawishiwa na kutekwa na Mambo ya dunia
Kwanini Unashindwa kuvuka Ukiwa upo nasi katika Kuihubiri Injili ya Roho Mtakatifu kwanini Uvuki pito hilo
Basi ndugu zangu kwenu nilichokuja kuelewa hatukufundishwa vita na mapambano toka awali
KARIBUNI Wapenzi wangu Leo nikienda kukumbushia Ubatizo WA Roho Mtakatifu
Ni Ubatizo unaoenda kiroho na kutimizwa kimwili kuleta mabadiliko.
Ubatizo huu huwa ni uke MTU anatolewa kwenye majina ya mtesayo anapewa jina jigine
Mfano WA ubatizo huu ilivyo
Mchungaji Richard =Moto WA Yesu
Yakobo= Israeli
Petro= Jiwe
Sarai=Sara
Emmanueli=Yesu mnazareth
Na wengine wengi Waliobatizwa katika Ubatizo huu WA Roho Mtakatifu
✍🏾jina LA mwili na jina LA Roho alilozaliwa nalo
Mwili.=Richard
Roho=Moto WA Yesu
Mwili lakuzaliwa=Yakobo
Rohoni alilozaliwa=Israel
Mwili alilozaliwa nalo; Sarai
Rohoni alilopewa. ;Sara
Mwilini alilozaliwa nalo.: Emmanuel
Rohoni alilozaliwa nalo.
Yesu kristo
Mwili; Petro
Roho; jiwe
Nk wapo wengi waliozaliwa katika Roho
🤝Wanaohusika kuvunja jina lako lilo kutumikisha NA kukupa LA Rohoni.
1;Mchungaji.Nabii.Mwinjilisti.
2!Roho Mtakatifu/Sauti Ya MUNGU isikike kwako inakuabia .
Huwa Baada YA Hapo MTU huyu Atatakiwa Apewe Mafundisho Ya kumjenga Kiroho
Alelewe Katika njia na Mafundisho ya Roho Mtakatifu
👏🏾👏🏾Kwanini MTU asiloweke kwenye Maji.
Huo ulikuwa Ubatizo kabla ya YESU
UTARATIBU aliouacha ni huo
Sio kubatizwa na maji Mbali Na Roho Mtakatifu
Yaani jina lilozaliwa kimwili ukija kwake linafutwa unaitwa jina jigine
Ikiwa Tunaenda kiroho lazima Tutii alichokiamru
Bwana Yesu mnazareth
Tukiendelea na ya kale itakuwa kama tunaenda vile alivyotukuta na utarabu wetu ule ule itamshagaza sana
Baada ya kuvunjika jina lako katika ulimwengu WA Roho Mtumishi atakuombea lile Ambalo Amekupa na litatambulika ukurasa mpya WA kuinuliwa kwako.
Soma Biblia mistari hiyo
By Pastor Richard
Holy Spirit Ministry
Maoni
Chapisha Maoni