SOMO: USHUHUDA
SOMO: USHUHUDA Zaburi:19:7,81:5 Isaya:8;16-20 Isaya:30:8 Marko:14;56 Luka;21:13 Yohana:1:7-19 Kuna Mtu mmoja Alikuwa Anateseka na Tatizo la Uzazi tokea ubint wake mpaka miaka 53 alipofika Kanisani Kwangu Kuonana nami Baada ya Kusoma Shuhuda Kwa Akili yangu ya kibinadamu niliona Kama kitu hakiwezekani Sababu hata blid ilikuwa imekata Kiukweli mama alikuwa na imani alichokiongea Kupitia wewe Mtumishi nashuhudiwa nitapokea Ushuhuda Nilimfundisha Neno nikamuombea Baada ya miaka 2 akaanza kuona Kaja Kupokea mapacha watatu akiwa na umri wa miaka 63 Huu ndio huitwa Ushuhuda Mtu anaona Mabadiliko ya Kimwili Alikuwa hivi Anakuwa hivi. USHUHUDA NI NINI? Ushuhuda Ni mabadiliko anayoyaona mtu Baada ya Kuomba au Kuombewa. Unapoona TU Hali ya mabadiliko Ulivyokuwa Mara ya kwanza na Utakavyokuwa Baada ya Maombi. MAANA YA USHUHUDA: Matendo Makuu Yenye mabadiliko ndani yako. KUNA AINA MBILI YA USHUHUDA 1: USHUHUDA WA KUDUMU 2: USHUHUDA WA MUDA MFUPI. USHUHUDA WA KUDUMU Huu Ni Ushuhuda A...