SOMO: MAMBO 5 AMBAYO MWANAUME MWENYE MALENGO NAWEWE HATAKI AONE
DARASA LA UCHUMBA SOMO: MWANAUME HATAKI AONE HAYA KWA MWANAMKE ANAYETAKA AMUOWE. Mithali:12:1-5 Mithali:14:1 Kuna Wakati Wanawake Wanawafanya Wanaume Hata Kama Walikuwa na Malengo nao Wafunge Ndoa Wanaogopa Kuchukua hatua hizo Haraka Kutokana Na Mambo Haya Matano Mwanamke kutokuviacha. . Karibuni Ufuguke Ufahamu Na Ukaolewe ulete Kicheko Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro Ndio nakuletea Elimu hii. 1:Mwanamke Mwenye Dharau na Anayejisikia Kuwa Mwanaume Kampenda Zaidi Kuliko Wengine. Yaani Mwanamke usije ukaanza Kumdharau Mwanaume aliyekupenda au Kujiona Wewe kakupendea labda uzuri wako labda shepu yako utamfanya Mwanaume Agairi kukuowa akuweke Ndani. Mwanaume hapendi Mwanamke Mwenye Dharau na Majibu Sms za Dharau Anapokuwa naye. 2;Mwanamke Mwenye Mazoea Na Jinsia Za Kiume Kila Akiitwa na Wanaume anaenda Tu Mwanamke Mwenye Makundi Ya Marafiki. Mwanaume huanza Kujiwekea Tahadhari Kabla Mke hajaenda kumtolea mahari na Kam...