SOMO. KAZI ROHO MTAKATIFU. ISAYA.11:2-6
RROHO MTAKATIFU NI NIN? ni msaidizi wako katika njia ya mbiguni ili uweze kutembea na mungu lazima uogonzwe na mungu kupitia roho mtakatifu yeye hatakupotosha. KUNA SEHEMU KUU SABA ZA ROHO MTAKATIFU ZOTE HIZI ZINAKAZI YAKE NDANI 1" ROHO YA BWANA. WARUMI.8-11 huyu roho anakupa kuwa na mamlaka makumbwa katika kazi ya bwana huyu ukupa upako wa kuponya kitu 2"ROHO WA HEKIMA. MHUBIRI.7-12 huyu roho hukufanya utende mambo yanayoonekana ya maana. anakupa uelewa na ufahamu wa kutenda kazi yako vizuri kwa umakin hukupa uelewa wa kuongea mungu anakufundisha kuomba mbele za baba kwa utiifu na heshima. maombi yako yatajibiwa haraka 3"ROHO WA UFAHAMU YOHANA.16:7-8 huyu anakupa kujua mambo yajayo na yaliyopita yaliyopo. huyu roho hukufanya uone vosivyoonekana kwa macho hukufanya umjue mtu kiudani atakujulisha siri zote za mti au maisha yako. 4"ROHO WA USHAURI 1wakoritho.3-9 huyu roho anakuonya na kukukemea katika njia mbaya. anakushaur...