SOMO; MAWAZO MABAYA YAONDOE
SOMO:MAWAZO MABAYA YAONDOE LEO ILI UPONE TATIZO LAKO. Kuna wakati unajiuliza Kwanini haya yanatokea Kwanini MATATIZO ndio hayaishi nimeomba Nimeombewa Kwa Pastor Richard Na Kwingine Bado TU Sifunguliwi Nataka Nikuambie MAWAZO Yako Yanasababisha uendelee Kuteseka mfano wewe Umeambiwa Utazaa Moyoni unaanza kuwaza ananitia moyo TU Pastor Richard kakuambia mwaka huu utaolewa wewe Unaanza kuwaza mchumba wako anayekusumbua ajirudi akuoe mme Yupo ukiondoa Mawazo Afya IPO ukiondoa Mawazo. Mawazo Ni silaha Kubwa Adui Anayoitumia ili Kukuagamiza Kiroho mapepo Majini hutumwa kwenye Mawazo yakupe kuwaza mabaya Kukata Tamaa kuombaomba Kukiri Umeshindwa Kikri Mimi dhaifu Nataka Nikukaribishe Somo Hili Hakika hutabaki Kama ulivyo Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️...