Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 15, 2018

SOMO NJISI YA KUHESABU MZUNGUKO WA HEDHI

  Siku za hatari za mwanamke ni zipi? Hizi ni siku ambazo mwanamke akishiriki ngono bila kutumia kinga anapata ujauzito bila wasiwasi wowote labda kama ana matatizo yanayomfanya asibebe mimba au mwanaume wake ana matatizo. Utazijuaje siku hizo? Kwanza kabisa ili ujue siku zako za hatari lazima ujue idadi ya siku za mzunguko wako. Kuna aina tatu za mzunguko.. mzunguko mrefu ambao unachukua siku 35, mzunguko mfupi unaochukua siku 25 na ule wa kawaida unaochukua siku 28 na ndio mzunguko ambao watu wengi wanao. Unajuaje mzunguko wako? Hesabu siku tangu siku ile ya kwanza uliyoona siku zako za hedhi mpaka siku moja kabla ya kuona siku zako za hedhi zinazofuata. Unashauriwa uchukue miezi mitatu mpaka sita ukihesabu ili ue na uhakika kwamba mzunguko wa tarehe zako haubadiliki, kama umeshahesabu siku za nyuma kabla ya kusoma makala hii ni vizuri pia. Mfano umeanza kuona siku zako tarehe moja mwezi wa nne alafu ziko zako zingine ukaziona tarehe 29 mwezi wa nne, chukua 29 toa 1 utapata...

SOMO :NJISI UKIMWI UNAVYOPONYWA NDANI YA Yesu

*SOMO, :KANISA NA UKIMWI* YEREMIA 32:27 Zaburi,, 103:3-4 Ukimwi ni uharibifu wa kinga mwilini Ni ugonjwa unaosababishwa na Virusi viitwavyo H. I. V human immunodeficiency virusi UKIMWI "uligudulika rasimi mwaka,, 1980/1980 Huko marekani  Florida San Francisco Mwaka, 1983 uliingia Africa ya Kati mwaka 1986" uliingia  Tanzania na mtu wa kwanza alipatikana kagera ugonjwa huu ulienea kwa kasi na kuua watu wengi UGONJWA HUU mara ya kwanza kutokana na mafundisho ya wachungaji wengi waliwaaminisha wa kristo kuwa mtu aliyeokoka anaweza asipate h. I. V KITU AMBACHO KILIWANJENGEA WENGI KUAMINI KUWA ni Pepo wapo wengine walikufa kutokana na kukatazwa wasinywe dawa au kufata Ushauri wa madokta pasipo kuelewa Dhambi huzaa magonjwa na magonjwa huleta mauti Na hii Husababishwa na dhambi ya uzinzi kwa Wanandoa au walio katika mahusiano Hali hii huwa dhambi ya kuitafuta mwenyewe  na  mtu huyu anaweza kusababisha hata mtoto kuzaliwa na tatizo hilo mtoto huwa Hana hatia kosa h...

SOMO :NJISI YA KUMSAIDIA BINT ALIYEZALIA NYUMBANI ILI IAKAOLEWE

*SOMO :NJISI YA KUMSAINDIA BINT ALIYEZAA KATIKA UZINZI NA MWANAUME ALIYEKATAA MIMBA* Yohana 8:1-11 4:6-19 Mwanzo 39:7-12 Mathayo 18:17-18 Matatizo ya Mabint wengi Kuzaa nje ya ndoa au nje imekithiri sana kwa wanaomjua MUNGU Na wanazaa na wapagani kabisa Hali ambayo Husababisha watelekezwe au kuachwa wakiwa na Mimba Hali hii huwa wote wanakuwa wameingia kwenye dhambi ya uzinzi  Au kuharibiana Malengo yao Hali ambayo husababisha Kutokuoa au kuolewa kwa kuwa mtu Mzinzi akianza kuacha huwa kazi sana Na kutokana wote wanakuwa vipofu wa kiroho  wanaweza kuendelea kutenda dhambi kwa kushauriana 1:Toa mimba 2:Kutoroshana 3:Kukimbilia Mjini ili kukwepa aibu 4:Kuwa na huruka hiyo Kila mtoto na Baba yake *JE NI DHAMBI KUZAA NJE YA NDOA Kuzaa na mwanaume ambaye hamjatambulishana na kutoleana Mahali ni dhambi* Ndio mwanaume na mwanamke huwa wanatenda dhambi na Hali hii huwafanya wasioe au kuolewa kwa kuwa humrusu Pepo wa kuvunja mahusiano kutokuelewa au kuoa kupitia uzinzi ndio...