SOMO; MAOMBI YA KUPIGA HATUA
SOMO; MAOMBI YA KUPIGA HATUA KWENDA MBELE. Mwanangu Katika Kitu Ambacho ukielewe Kwenye Maisha yako kila unapopiga hatua kwenda mbele Ipo roho inakuzuia kufika unapotakiwa ufike bila wewe mwenyewe muhusika kusimama na Maombi huwezi kwenda hatua unayotaka ufikie bila kuomba nakuwa na ujasiri ukaacha roho ya kukata tamaa au kufikiria negative na mafanikio yako. Ninaitwa Pastor Richard (BISHOP RICHARD) KANISA LA HOLY SPIRIT CHURCH TANZANIA MAKAO MAKUU MOROGORO VETA DAKAWA MAOMBI HAYA YANAITAJI ZINGATIA HAYA. 1:Unapoomba Fanya Kitendo cha kupiga hatua. Yaani Tembea Tembea. 2:Tamka Maneno Kila yanayokuja kinywani mwako namna ya kuomba elekeza maneni kupiga hatua kwenye kile unachoona kimesimama sehemu moja. 3:Maombi Haya Utaomba Siku 4 Mfululizo kwa Masaa na Muda unaokuwa Tulivu kwako. 4:Utaandaa Sadaka Yako Siku ya Nne ukimaliza maombi utaituma na Unanipigia Simu. 5:Chochote ukikiona au kuota ukiwa katika haya Maombi Basi Nieleze. Na Ukiishia njiania unarudia upya us...