Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba 2, 2020

SOMO: NGUVU YA AKILI

🥦🥦SOMO; NGUVU YA AKILI🥦🥦 Tufunue;Mathayo:22:37 Zaburi;119;66,1wakoritho:1:19 Luka : Mlango 24: 45 Ndipo akawafunulia akili zao wapate kuelewa na maandiko              ;UTAGULIZI: Akili Ni kiungo chenye nguvu ya kumponya mtu au Kumwagamiza mtu Akili huenda sawa sawa naunavyoiendesha wewe mwenyewe Ukiendesha Akili YAKO uwe Mpumbavu kila Kitu utakuwa Mpumbavu Ukiendesha Akili YAKO uwe na Maarifa utakuwa na Maarifa. Akili inasehemu Kubwa Sana Ya Kufanya Maamuzi na Hatima ya Maisha YAKO na Imani YAKO ikaamini Kama Akili ilivyoongoza. Sasa Kwa Kuwa Mungu Anatupenda Ameamua Azifunue Akili Zetu Kwa Kutuletea Somo Hili Karibu ujifunze nguvu ya akili YAKO inavyoweza kukuponya Mimi Naitwa Pastor Richard Ninaishi MOROGORO VETA DAKAWA.Simu zakuongea nami piga Jioni SAA 12;00 Namba+255759861768 MAANA YA AKILI : Ni uwezo wa Kupambanua Vitu unavyoviona na Kuvisikia  Kisha kuruhusu Maamuzi yaliyosahihi ndani YAKO yaamue. Matokeo ya uamuzi wako huwa tunaita...