Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 30, 2016

MAOMBI YA KURUDISHA

ILI UWEZE RUDISHA MALI ZAKO LAZIMA UWE SILIAZ NA HILO . NJISI YA KURUDISHA PESA KWANZA ANZA NAKUOMBA TOBA YAMKINI ULIPEWA PESA AU WAKATI ULIOPITA ULISHIKA PESA UKAZITUMIA KWA SHETANI . eeh baba nakuja mbele zako  nashukru kwa  kunipa ufahamu wa kukujua nilipotea nilipokamata pesa nikajiona kama pesa zitaendelea kunikaa nilitumia pesa zangu kw starehe nilitumia pesa zangu kwa waganga nilitumia kwa miungu lakini sasa nakri ukinirudishia pesa mali nyumba zangu nitazitumia kuinua huduma yako hii iwafikie wezangu waliopo gizani. amen ITA ITA ITA ... PESA GARI NYUMBA NASIMA NA ISAYA.60:11 MNAELEWA NENO HILI LINASEMAJE MAENDELEO YANGU NYOTA YANGU   NAIRUDISHA NAWASHA MOTO MOTO KWA KILA ROHO ILIYOHUSIKA KULA PESA ZANGU PESA NAKUITA NATAKA KUINUA HOLY SPIRIT FANYA UPES MALANGO YAKO WAZI.KATKA JINA LA YESU. OMBA KILA SIKU UNAPOKUWA UMEENDA PUMZIKA USIKU . MUNGU AKIKUJIBU NJEGA UTUKUFU WAKE. AMEN

KANUNI ZA KURUDISHA MME/MKE/UZAZI ASIYEZAA NA VITU VILIVYOCHUKULIWA.HOSEA.2:6-11

Picha
NJISI YA KUMRUDISHA   MME/ MKE NJISI YAKUOMBA . Mme wangu nakuita  kwa jina lako la kevin maduru sauti hii ikasikike kwenye moyo wako ukakumbuke angano letu ulisema HAUTANIACHA nakutesa mpaka urudi na wanao wanakuitaji  KATIKA JINA LA YESU.AMEN MKE NJISI YA KUOMBA . Mke wangu nakuita kwa jina lako uliandaliwa kwa ajili yangu mke wangu uliyeondoka nakutesa moyoni mwako mimi uliyenitamkia HAUTANIACHA sasa nauliza moyo wako unajua unakiapo nami mwingine hautakaa nae katika jina la yesu.AMEN KURUDISHA UZAZI ULIOIBIWA . .... naam huyo aliyekuwa tasa amezaa watoto saba... samwel .2:5 Kizazi changu nakiita na kukirudisha nakitambulisha kuwa hicho ni moto wa yesu nafichua fichua uchawi uliofanywa juu yangu SASA KIZAZI HICHO NAKIAMRISHA KIWAKE MOTO WA YESU NA NITAZAA WATOTO WAKIKE WAKIUME NA WAKIKE. NAA AHIMIDIWE BWANA MAANA AMESIKIA DUA ZANGU. zaburi .28; 6 NJISI YA KURUDISHA KAZI ULIOSIMAMISHWA . Ee bwana yesu nasimama katika ulimwengu wa roho ...

HATUA ZA KUFUATA ILI UWEZE FUGULIWA.UFUNUO.21:8

ANZA KWA MAOMBI YA REHEMA. ZABURI .51:1-19 NJISI YA KUOMBA . eeh MUNGU mimi ni mwenye dhambi kwa kuzaliwa na kwa kutenda ninatubu mbele zako hakika nimekosa na kukupuuza uliposema nami nilishupaza shingo eeh baba kuanzia sasa natua maovu na mizingo yangu kwako. IN JESUS NAME. AMEN. OMBEA KILA MTU UNAETAKA KUMFUNGUA LAZIMA UAZE NA MAOMBI YA MSAMAHA MUNGU AMSAMEHE. DANIEL.9;4-19 "'' WALA HAKUWASIKILIZA WATUMISHI WAKO.... UFUNUO .21:8 ''''' BALI WAOGO NA WASIOAMINU NA WACHUKIZAO...... MUWEKE WAKFU YEYE NA FAMILIA YAKE . Ee baba namleta mbele zako huyu mwanao matina salingo yeye na familia yake watoto wake wawe wakfu na mali yako wasikuache wakakupende wewe.AMEN MUONGOZE MANENO HAYO. AYUB .31:1 NILISEMA STAKUUDHI TENA BASI NAWEZAJE KUKUTENDA MAOVU .( ktk neno maana ) HATUA YA PILI . MAOMBI YA KUSHUKRU KABLA YA MATOKEO MAANA MUNGU HASHINDWI .WAFILIPI .4:6 FANYA MAOMBI UKIMSHUKRU BABA KWA KUTENDA NA KUKUSIKILIZA WEWE MWAM...