Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 2, 2025

MAOMBI YA KURUNDISHA KILICHO CHAKO

SOMO: MAOMBI YA KURUNDISHA  KILICHO CHAKO Katika ulimwengu wa roho watu wengi Sana Wanaishi maisha yasiyopangiwa na Mungu Sababu Wapo Watu Wanafanya kazi ambazo siyo zao walizosomea, Wapo Watu Wameolewa au Kuowa watu ambao siyo walioandaliwa na Mungu LEO hii Tunataka Kurundisha Kilichochako. 👊MSTARI TUNASIMAMIA          Mwanzo 14:23   ya kuwa sitatwaa uzi wala gidamu ya kiatu wala cho chote kilicho chako, usije ukasema, Nimemtajirisha Abramu; #ZINGATIA HAYA YAFATAYO 1:Uwe Jasiri mwenye msimamo wa kuomba. 2:Uwe Unajitambua Haya Maisha unayoishi siyo yako Kuna vitu unatakiwa uwe navyo huna.. 3:Ujiwekea Muda utembee na Maombi haya Siku 3 Kwa Muda utakaoweka.         NAMNA YA KUOMBA; Ninarundisha maisha yaliyo yangu Narundisha Kazi iliyo yangu Narundisha Mikono iliyo yangu Narundisha Pesa zilizo zangu Narundisha ndoa Yangu Narundisha Kizazi changu Narundisha Ujenzi Wangu Narundisha kila kitu kilicho  changu Kwa Jina la Yesu l...