TANGANZA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO.
TANGAZIA FAMILIA. Natangaza familia yangu na ukoo wangu lazima lazimaa ikujue MUNGU wangu ktk roho mtakatifu. amen TANGAZIA NDOA MAHUSIANO Natangaza katika ulimwengu wa roho ndoa yangu na mahusiano yangu yataongozwa nawewe. TANGAZA KWENYE HIV. Natangaza mimi......sitakufa na pepo wa ukimwi tena stanguswa nayasema haya katika ulimwengu wa roho na mwili wangu hautabeba.AMEN TANGAZIA WATOTO . Natangaza lazima wanangu waongozwe nawe mimi nakri kukupa wewe MUNGU Wangu.amen TANGAZIA KARAMA YAKO . Natangaza mimi ni moto kama baba yangu wa kiroho nikavuke mipaka AMEN. TANGAZIA MMEO / MKEO natangaza ushindi ktk tamaa kwa mwenzi WANGU.AMEN TANGAZIA KUMFATA MUNGU WA ROHO MTAKATIFU . Natangaza mimi nitasimama nakuongozwa kwa roho wako katika huduma yako ya roho katika jina la yesu.AMEN TANGAZA KWENYE BIASHARA YAKO Natangaza kuanzia leo ktk ulimwengu wa roho naachilia malaika wa vita wasimame katika biashara yangu.AMEN TANGANZA KUMUI TA MKEO MMEO . Nangaza kwa...