Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 12, 2023

MAMBO 20 YA KUFANYA UKITAKA UMFURAHISHE MUMEO

MAMBO 2O YA KUZINGATIA UNAPOTAKA MUME WAKO AFURAHIE NDOA YENU Mithali:12;1_5  Karibuni katika Darasa la Wanandoa +18 Tuongeee na Kupeana elimu katika Njia yenye kujenga ndoa zetu katika kipengele cha kuwapokea Wanaume wapotoka Kazini na mambo yanayomfurahisha mumeo Mwalimu anayekuletea Darasa NAITWA PASTOR RICHARD  WHATSAPP NUMBA +255759861768 1:Unapomkaribisha mume wako hakikisha unaanza kwa kupokea mzingo wake kisha msalimu kwa heshima (piga magoti) nakumkaribisha. 2:Unapoanza Kuongea naye anzia kumweleza Habari nzuri na kumpa Pole kwa mihagaiko kisha muulize anaenda kuoga au Anakula kwanza. 3;Hakikisha Unakuwa msafi na unaoga vizuri mumeo anaporudi akukute upo msafi. 4;Safisha nyumba yako na Kutandika kitanda chenu vizuri mumeo asirudi akute chumba hakijatandikwa. 5.Badilisha mitindo ya nywele Na Kuvaa nguo anazozipenda mume wako. 6.Mshukuru Mumeo Kwa Kile kindogo anachokupa mwambie Ansate mfalme wangu. Fanya mara kwa mara. 7.Usimuite mumeo majina haya mume/Jeremia/rafiki y...

SOMO:MAMBO MHIMU YA KUZINGATIA UNAPOOMBA

SOMO: MAMBO MHIMU YA KUZINGATIA UNAPOOMBA.  Kuna vitu ni vya muhimu Sana Kufanya Maombi Yako Yafike mbele za Mungu na ujibiwe. 1:MUDA WA KUOMBA. Jifunze unapotaka uingie maombi yoyote mfano unaombea kitu au unaombea familia yako  Hakikisha unaweka muda wa kuomba Huo muda utapatana na Roho Mtakatifu na Mungu mwenyewe nawewe simamia huo muda maana katika ya huo muda ndio Mungu atashuka akuhudumie. Mfano umesema kila siku nitaamka saa sita usiku nianze kuomba mpaka saa nane simamia huo muda ulioutamka usipishane nao. Kwa Kufanya hivyo utayafanya maombi yako yawe yanajibiwa haraka. 2:TUBU. Hakikisha kama unajiona uliwaza vibaya au ulimunug,unikia Mungu au ulikata tamaa, au ulifanya dhambi Yoyote unaitubia hiyo dhambi.  Upotubu Hakikisha unapiga magoti na unaijutia dhambi yako kwa maombi ya kuugua na kuijutia dhambi hiyo. 3:UWASILISHAJI WA MANENO. Hakikisha unatamka maneno yanayoeleweka Yenye hekima na utaratibu maalumu usiende kuomba mbele za Mungu ukitumia lugha za mitaani...