SOMO; UONGONZI WA MWEMA. YEREMIA.1-5 KUTOKA.3:11-14 1SAMWELI.16
UONGONZI MWEMA WATOKA KWA MUNGU. UONGONZI NINI? Ni nikukumbalika kwa mungu na kwa wanadamu uongoze jamii au kikundi cha watu. KUNA SEHEMU GAPI ZA UONGONZI KUNA SEHEMU KUU MBILI TU. 1"UONGOZI WA KIROHO. 2"UONGOZI WA KIMWILI WA NYAMA UONGONZI WA KIROHO ሸi uongonzi unateuliwa na mungu kukubalika mbele za mungu tunasoma. 1samweli.16 SIFA ZA MTU HUYU KUCHANGULIWA NA MUNGU. -UNATAZAMWA MOYO WAKE UNAMFAA KUFANYA KAZI NA MUNGU. -HISTORIA YAKE INATAZAMWA JE MKAMILIFU. -IMANI YAKE JE INAMTENGEMEA MUNGU. -MABADILIKO YA MWILI NA KIROHO JE ATABADILIKA NA KULIISHI NENO LAKE -JE ANAUPENDO -NI RAFIKI WA MUNGU. MAMBO HAYA MAKUU MUNGU ANAYOTAZAMA ILI AKUTUMIE. ADUI WANAOPIGANA KUFIKIA ALIPOKUPAGIA MUNGU. 1- NAFSI YAKO ni yen yewe inakufanya kukata tamaa. wasiwasi. woga. hofu. kujidharau. 2"MANZIGIRA YENU.wao wakukatisha tamaa na kukudharau kukuambia huwezi wakati si wao waliokuchangua. 3.IBILISI. huyu akubaliani kabisa na wewe upinge hatua ye...