SOMO; JINSI YA KUMSAINDIA MTU MLEVI
SOMO; JINSI YA KUMSAINDIA MTU MLEVI ASINYWE POMBE Tusome;Zaburi 107:27 [27]Wayumba-yumba, wapepesuka kama mlevi, Akili zao zote zawapotea. mlevi Ni mtu anayetawaliwa na kiu ya Mpombe au Kilevi. Maana ya Kilevi; Ni kitu Chochote CHENYE nguvu yakukulewesha. KWA SABABU ZIPI ZIMEMFANYA ANYWE POMBE. Fatilia ujue chazo Ni Nini kunywa POMBE. 1;NAKUNYWA KWA SABABU NAPATA PESA. Inawezekana Anakunywa kwa Sababu Anashika Pesa Basi unatakiwa Uwe Unachukua Pesa na Kuhakiki hakai na Pesa au Kuongea naye kushikilia wewe Pesa. 2:MARAFIKI NILIONAO WANANISHAWISHI. Kwanza mwenyewe ajitambue asitembee na marafiki wasio na faida aachane nao mwenyewe. 3:NI URITHI KATIKA KIZAZI CHETU. Kama amerithi Kutoka nyuma Basi Yeye mwenyewe anatakiwa aingie ajikomboe kwenye Mizimu Yao Maombi yakujikomboa kwenye Mizimu utayapata kwenye tovoti yangu 👉🏿www.mchungajirichardi.blogspot.com 4;NAKUNYWA KAMA STAREHE au KUPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO. Kama huwa Anakuambia hivyo muulize hawezi...