Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 13, 2020

SOmo ;Mungu Akuheshimishe

⌚⌚SOMO; MUNGU ANAIRUDISHA HESHIMA YAKO WALIOKUDHARAU ANAWAFUNGA VINYWA VYAO⌚🗣🗣🗣 Nahumu;2;1-13 Yohana;4;44 Mathayo:13:57 1coritho:12;21-25 Waebrania:2;7-10 Wahenga walishasema Usimdharau mtu kabla hajafa huwezi ukajua atakuja kuwa Nani Heshima na Thamani ya Mtu ipo katika uhai Wake TU maana unayemdharau Leo kesho hujui utamkuta wapi Karibu Naitwa Pastor Richard Kwa Wageni Ambao ndio mmeanza kunifatilia Kurasa na group Zangu Nipo Morogoro Veta Dakawa nchini Tanzania Lengo Kuu LA SOMO Hili; Tujifunze kuwaheshimu wakubwa kwa wadogo Usimdharau mtu hata Kama kaja ofsini kwako Jitaidi kumkalimu na kumfundisha au kumhudumia vyema ili hata siku nyingine akukumbuke Usiwe na majibu machafu au kuwadharau wengine waheshimu wote. Nini Maana Kudharau Ni Hali ya kukiona kitu hakina thamani hakina umhimu kwako Tena. Tambua kila mtu Mungu amemuweka kwa kusundi maalumu mpango mwalimu usiaze kuhesabu madhaifu kwa mtu ukakosa kukumbuka ipo siku madhaifu yatao...