SOMO;UTOFAUTI KATI YA MWILI ROHO NA NAFSI
SOMO; UTOFAUTI KATI YA MWILI,NAFSI, NA ROHO Karibu Katika Darasa hili la Mafundisho Ya Neno la Mungu Leo nataka niongelee Utofauti kati ya roho na nafsi pamoja na mwili. Naitwa Pastor Richard WhatsApp +255759861768 Tuanze Na 1;MWILI Ni ngozi hii ya nje iliyofunuka na Inapokea Taarifa kutoka kwenye Nafsi. Mwili hauwezi kufanya chochote endapo nafsi yako itakuwa inashambuliwa na adui. ●●●● Mwanzo 6:12 [12]Mungu akaiona dunia, na tazama, imeharibika; maana kila mwenye mwili amejiharibia njia yake duniani. And God looked upon the earth, and, behold, it was corrupt; for all flesh had corrupted his way upon the earth. 2;NAFSI. Nafsi ni uhai wa mwili kuweza kujiendesha katika hisia mbalimbali kila kiungo kuweza kufanya kazi yake vyema ni nafsi inapokuwa hai. Mfano; hisia za Kupenda na Kuumizwa Magonjwa au Afya Mtu ataujua mwili unauma endapo atapokea hisia za maumivu ndani yake nakupelekwa kwenye mlango husika wa kumpatia taarifa. Nafsi ni chembechembe hai Z...