Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni 13, 2020

SOMO:IBADA YA SANAMU

              🌴🍍SOMO✍️✍️IBADA YA SANAMU:🌴🍍 Tufunue Vitabu hivi 👉 1wakoritho:10;14👉Wagalatia:5;20👉Wakolosai:3:5👉1Petro:4;3 🍍🍍🍍🍍🍍🍍🍍🍍 Karibu Mwanangu Unayenifatilia Kiganjani mwako au kwenye Laptop Popote pale mlipo ndani na nje ya Tanzania;Leo Nataka Niwashirikishe Kitu UNAJUA NINI MAANA YA IBADA YA SANAMU Karibu Tujifunze. Wapo watu wanateseka kwa sababu hawajaacha ibada ya Sanamu Wapo wengine wameokoka lakini wanaishi maisha ya ibada za Sanamu nakufata ibada hizo ambazo chukizo. ✍️✍️MAANA YA IBAADA ZA SANAMU 🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑 Ibada ya Sanamu: Ni Mawazo Yote na Matendo mabaya Huitwa Ibaada ya Sanamu; ✍️✍...