Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 6, 2020

MTAMBUE JINI MAHABA KATIKA UHARIBIFU WAKE

MTAMBUE JINI MAHABA KATIKA UHARIBIFU WAKE 👉🏽👉🏽SOMO;JUA PEPO LA KUPATA PESA HALAFU MATATIZO NDIYO YANAONGOZEKA__KUTOKUUZA DUKANI__KUGOMBANA NA MMEO/MKEO/MCHUMBA.✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾 Vitabu Usome: Mathayo;7;24-28 Mathayo;4;24 Luka;8:2-39 Kutoka;15;8-10 Zaburi;18:10-14 Lengo kuu; Ujue njisi huyu Pepo anavyoharibu maisha yako kwenye uchumi na kuvunja ndoa kuwagombani. Karibuni wanangu Naitwa Pastor Richard SoMo Hili lipo kwa Ajili ya kukupa mbinu ya Kutoka kwenye uchumi wako kushikwa. Pepo ni Nini? Ni roho isiyoshikika Ni hewa inayotumiwa kufarakanisha kuharibu uchumi wako Huwa Matatizo niliyoyaorodhesha hapo Juu ukiona unatatizo haya. 1;Mafarakano wewe na mmeo/mkeo/mchumba 2;Unauza biashara huoni Pesa unakazi yakuongezea mtaji 3;Kuota ndoto Unafanya mapenzi 4;Kushika Pesa ukizishika tu ndio matatizo yanaimbuka 5;Ugomvi wa KILA siku na mmeo/mkeo/mchumba wako 6;Kuotwa kinyama sehem...