Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni 28, 2023

SOMO: JINSI YA KUJIKOMBOA KWENYE DAMU

SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI  WA DAMU.  :UTANGULIZI. ______^^^^^___. Damu ni kiugo kikubwa Sana Ambacho adui hukitumia ili kuweza kukuagusha na kukutesa kumbuka Yesu alikuja kukomboa wewe lakini Tendo la ukombozi lilikamilika kwa kumwaga damu ni nini ishara yake ni kwamba damu iliyomwangika ikasafishe Damu yako nakuikomboa iondokane na magonjwa umasikini mateso. Kwa Sababu ugonjwa ili Ukutese lazima uingie kwenye damu Umasikini ili ukuigie lazima upite kwenye damu Tatizo lolote Sungu au Ambalo unaliishi kwa sababu lipo kwenye Damu huwezi ukaanza kudai uponyaji au ukombozi bila kuikomboa damu yako kwanza. MAANA YA DAMU. Damu ni chombo cha kusafirisha mahitaji ya seli kama vile virutubishi na oksijeni pale panapohitajika, halafu inapokea dutu zisizohitajika tena kutoka seli na kuzipeleka kwa viungo zinapoondolewa mwilini. MWILI WA MWANADAMU UNABEMBWA NA VITU VITATU. DAMU; ambayo kazi yake kuzalisha seli hai nyeupe zinazoshambulia nakupambana na maradhi  MAJI:husaindia mfumo wa ...