Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni 20, 2021

SOMO:VITA YA KUBOMOA MAWAZO MABAYA

SOMO: VITA YA KUBOMOA FIKRA NA MAWAZO MABAYA Warumi;14:1 Wakolosai:3:5 Wagalatia:5:24  2Wakoritho:2;11 Wafilipi;4:10 USHUHUDA Bint mmoja Alifika Hapa Kanisani Akiteseka na Ukimwi na kutokuolewa Akaniambia Baba Napata WACHUMBA Lakini Nikiwapata wanataka tukapime nnaomba Uniombee nikaolewe na nikipimwa majibu yawe mazuri nikamfundisha Masomo TU ndani ya Siku SoMo mojawapo lilikuwa ondoa Mawazo mabaya yanazuia uponyaji wako pia Simama na Zaka Kumbe alikuwa Mwizi wa Zaka na akilini anawaza Hawezi Kupona h.i.v Baada yakufuta Mawazo ya wizi wa zàka na Ukimwi alipoenda kupima Ukimwi aliukuta Hana na Leo Ameolewa. Inawezekana Nawewe Unavita na Fikira zako na Mawazo mabaya Ambayo yamejenga Madhabahu Ndani Yako Na Unateseka maana unaombewa Uponyaji hupati kwaza unamuwazia vibaya hata Mtumishi anaekuombea Wewe Mwenyewe unawaza mabaya. Hebu fikiria Kama wewe unawaza Usiwe mwaminifu wa zàka  hutoi Unatengemea utapataje Kupona huna unachokifanya Zaka kila mwezi hutoi au unawa...