Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 26, 2021

LASIMU YA KANUNI

Picha
YALIYOMO Sura ya Kwanza: Taratibu Za Ibada Sura ya Pili UBATIZO Sura ya Tatu MEZA YA BWANA Sura ya Nne Mashemasi na Wazee wakanisa Sura ya Tano Sadaka na Taratibu Zake Sura ya Sita Mipaka na Wajibikaji wa Viongozi Sura ya Saba Ndoa na Uchumba Sura ya Nane Umoja na Ushirikiano Sura ya Tisa๐Ÿ‘‰๐ŸฟMASHARTI YA KUJIUNGA UCHUNGAJI NA SIFA ZA WACHUNGAJI SURA KUMI๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ MAONO YATATIMIZWAJE 1:SURA YA KWANZA ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐ŸฟTARATIBU ZA IBADA ๐Ÿฆ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ Taratibu za ibada Ni miongozo mbalimbali za kanisa zinazohusiana na ibada Zetu ndani Ya Kanisa la Holy Spirit Ibada Zetu zitaongozwa na Roho Mtakatifu Kufundisha na kuongoza ibada zetu Ibada Zetu zitakuwa Kama ifatavyo A๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐ŸฟIBADA KUU ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ Jumapili  ibada inaanza Saa 8:30-12;30(Saa mbili na nusu mpaka Saa Sita na Nusu Hii ni Ibaada Yote Jumapili itaanza Saa mbili na Nusu katika muda huo Vjpindi vitaanza Jioni ibada ya marudio itaanza Saa:4:00 mpaka Saa 6:00 Jioni(Saa kumi mpaka Saa kumi na mbili ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ1:SUNDAY SCHOOL ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ Sunday School...