SOMO: FANYA HAYA KUMJUA MUNGU
SOMO: FANYA HAYA KUKUA KIROHO Group: Maombi na Mafundisho Admin; Pastor Richard Wa Morogoro WhatsApp:Group Jiunge+255710889892 Kuna Mambo haya ukifanya yakupima umekomaa kiroho. A:MJUE SANA MUNGU. Ayubu 22:21 Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. MFANO WA MAMBO YANAYOKUPA USHAHIDI UNAMJUA MUNGU. 1:Kuwa na MWoga Wa Wizi Wa zaka Malaki:3:8-12 Kila Mwezi unatoa kama Mchungaji alivyoelekeza 2;Kuwa Muoga Wa dhambi Kufanya Waefeso 4:23 na mfanywe wapya katika roho ya nia zenu; 3:Unabadilika Kitabia Zako. 1 Wakorintho 15:33 Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema. B:MAFUNDISHO YA NENO. Ukiponywa Akili Yako na Fikira Zako utapenda kujifunza Kila Siku NENO la Bwana. Kumbukumbu la Torati 32:2 Mafundisho yangu yatadondoka kama mvua, Maneno yangu yatatona-tona kama umande; Kama manyunyu juu ya majani mabichi; Kama matone ya mvua juu ya mimea. C: MAOMBI Ukiona huna ratiba Yako Binafsi ya Maombi Ujue Umekufa rohoni s...