SOMO;MWILI WENYE PUMZI HAI
SOMO: MWILI WENYE PUMZI HAI. VITABU;Mwanzo;2:7,6:17,7:15-30 Ezekieli;37:5-12 ●UTANGULIZI;● Mwili Wenye Pumzi Hai ndio mwili ulio hai hivyohivyo Katika maisha yako Ya Kiroho na Mungu Unaweza Ukawa Umembeba Yesu Aliye hai ndani yako lakini Wewe ulimbeba ukawa Umekufa kiroho unajikuta hata kuiona Faida Ya Uliye Naye Huwezi Kuiona Unajikuta Umekufa Lakini Unatembea Nafsi Yako Imekufa Tayari. Karibuni Katika Somo Hili. TUOMBE; Baba Naachilia Ufahamu na Uelewa Kwa Watoto wako wakaelewe Ninapofundisha Somo hili Ukaachilie Pumzi Kwa Mtu aliyekufa akawe hai katika jina la Yesu. Amen PUMZI HAI NINI ? Ni nguvu inayopewa kitu Kilichokufa au Sanamu iweze kujiendesha nakusimama kuongea nakujitambua. MAANA YA NENO PUMZI HAI. Nikufufua kitu kilichokufa. KUNA VIASHILIA AU DALILI UNATAKIWA UZIJUE ILI KUJIELEWA UNAHAI NDANI YAKO AU ULISHAKUFA ZAMANI. 1:Uhai wa Milango Yako Ya Ufahamu Am...