Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba 2, 2020

DALILI ZA MTU ANAETESWA NA DHAMBI YA WIZI WA FUNGU LA KUMI

HIZI NDIZO DALILI KUU ZA MTU ANAETESWA NA DHAMBI YA WIZI WA FUNGU LA KUMI. Naitwa Pastor Richard Ninakukaribisha kujifunza nakujua viashilia vinavyokujulisha Mungu Umekosana nae KUPITIA Kukosa Uaminifu wa Kutoa Fungu la kumi MALAKI:3;10 1:Huingia roho ya kudhulumiwa au Kutapeliwa utakumbwa na matukio ya hivi. 2:Biashara mtaji wako utakufa au utaona Biashara  huuzi Hata Mia ujue Fungu la kumi 3:Utakopa madeni utashindwa kuyalipa na madeni yatakuzidi Kwa Kuwa hujui unatakiwa uaze kutoa Fungu la kumi utaombewa madeni hayataisha Hata nafuu hutaona. 4:Utakumbwa na kuuguza watoto wazazi pesa zako zote zitaishia kuuguza. 5;Kila utakalo Sema ulifanye utalifanya katika Makosa yaani utapatwa na HASARA.. 6;Utafukuzwa Kazi Utashushwa cheo chako 7;Utakosa Kibali mbele za Mungu na Kwa Wanadamu. 8:Hautapata ulizi wa kazi yako utaona Mambo kwenye kazi Yako yanaharibika 9:Utachangia kuua kanisa au Huduma kwa sababu KUPITIA Fungu Lako huifanya kanisa lijijjenge KUPITIA kikumi 10;Uaminifu...