Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 23, 2020

SOMO:YAWEZEKANA UKIWEZA KUAMINI NENO

✍️✍️SOMO:YOTE YANAWEZEKANA UKIWEZA KUAMINI NENO TU. πŸ€›πŸ€›✍️✍️klKaribu katika Mafundisho ya Neno La Mungu Tunaenda Kukumbushana Nini maana ya wewe kuweza au uvuke katika Kipindi kigumu unatakiwa uamini Neno Inawezekana. ✍️✍️✍️ Tufunue Biblia Zetu kabla sijaendelea Mathayo;19;25 ✍️πŸ‘ˆMarko:9;19-25✍️✍️Luka:18;27✍️    ✍️✍️✍️✍️ UTANGULIZI✍️✍️✍️ Katika Marko;9;19-25 Tunaona Ushuhuda wa kijana Aliyekuwa Anateseka na kifafa ukiziwi na ububu toka Mtoto Mzazi wake Anamweleza Yesu Kuwa Pepo Alijitaidi Kutaka Amuue Lakini Mungu alimlinda Mzazi anaendelea kushuhudia Amezunguka huku na kule na pepo wa kifafa alikuwa akimwagusha kwenye Moto Sasa nyingine alimrusha na kumdodosha Mwanae wakati mwingine aliangukia maji ya Moto. Mwili wake ulikuwa umejawa majereha Yesu Akamuuliza Mzazi huyo; Je Unaami nikimuombea Atapona Mzazi;Naamini Yesu;Nakwambia Kwamba ukiweza Leo KUAMINI NENO Inawezekana kwa Mungu yasiyowezekana kwa wanadamu ujue mwanao atafunguliwa. Mzazi;Naamini lakini Namuomba M...