Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 25, 2021

MISINGI 10 YA UCHUMBA

SOMO: SHERIA KUMI ZA MAHUSIANO (UCHUMBA/NDOA) Mithali;9;9 ,12:1 Kuna Dada mmoja Alifika Hapa Kanisani Akiwa Amejikatia Tamaa Hawezi Kuolewa Kwa Kuwa Umri Umefika Miaka 52 Anakaa TU na Mwanaume Miezi au miaka 2 Wanamuacha Akasema Anatamani Afunguliwe awe na mme wake maisha hayo amechoka nikamuuliza Ulishawahi kuwa na Angano la uchumba Akasema Mimi siijui Kama huwa Kuna Agano la uchumba nikamuuliza Tena huwa unawezaje Kujua Huyu Ni mme na huyu Anataka anipotezee muda Kumbuka Dada miaka 52 hajaolewa Kwa Kukosa kujua Agano la uchumba Baada ya Kufundishwa Sasa hivi Ameolewa na Alishatoa Ushuhuda hapa Lengo Ni kukutazamisha unaweza Ukawa Unateseka kwa Kukosa Kujua Umhimu wa kitu.Naitwa Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard WhatsApp Number Pastor Richard+255759861768 Nipo Morogoro Veta Dakawa HIZI NDIO SHERI ZA KUJENGA UCHUMBA MZURI WEKA SHERIA HIZI MOYONI. 1.       MUNGU Katika Mwanzo Tu mahusiano yako Tafuta mwanamme/Mwanamke Anayemjua Mungu Na Anahofu Y...