Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 11, 2024

SOMO:MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA NA ROHO ZA KUPOTEZA VITU.

MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA NA ROHO YA KUPOTEZA VITU KUTUMIA PESA VIBAYA ROHO YA UFUKARA. Habari Kamanda Wa Bwana Yesu Mwanamaombi Mwezangu Nataka Nikufundishe Kitu Katika Ulimwengu wa Roho Huwa ipo roho inayomtumikisha Mtu mambo haya 1.Umasikini uliopitiliza 2.Kupotelewa na Vitu mara kwa mara 3.Kupata Pesa lakini inakuwa na matumizi yasiyo ya maendeleo inaisha tu bila kujua imetumikaje. Hii Roho huitwa Ratifa ni Jini Linalohakikisha inapomwingia mtu linamshika kumutumikisha bila kujielewa. Waefeso:6;12  MSTARI HUU TUNASIMAMIA SOMA. 👇👇👇👇👇👇👇 2 Wakorintho 10:3-4 [3]Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili;  [4](maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;)  WANAOPASWA KUOMBA MAOMBI HAYA NI WATU HAWA. 1.Wanapotelewa Na Vitu ovyo ovyo au Kudhurumiwa,Wanaotumia Pesa ovyo wanafanya kazi lakini hakuna wanachofanya cha maana walio masikini kupitiliza au wanaona wanafatiliwa na roho hiyo. 2.Wataomba bi...