MAOMBI YA UKOMBOZI WA URAFIKI (WACHUMBA)
MAOMBI YA UKOMBOZI WA URAFIKI ( MAHUSIANO YASIYOELEWEKA) ,,,,,,,,▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎ Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Kutoka Kanisa la Holy Spirit church Tanzania Wapo watu Mahusiano yao hayaeleweki hakuna mawasiliano wala sms wala simu Yapo kama hayapo Adui Ameichukua nafasi zao za kuwasiliana kaweka kila mmoja amuone mwezake kawaida tu. Tunaingia maombi Tafadhali Soma uelewe mambo ya kuzingatia unapokomboa ,,,,,,,,,,,,▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎ #ZINGATIO Walengwa ni wale Tu urafiki (Mahusiano) wao haueleweki Waombe kila siku kwa muda wao mpaka waone matokeo wayaone Hakuna Kitu adui anachokichukia kama nyinyi wawili mkiwa na lengo la kufunga ndoa yaitaji uombe hasa. Mstari unaobemba Maombi 👇👇👇👇 Mithali 6:1 [1]Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa rafiki yako, Ikiwa wewe na mgeni mmepana mikono, °••••••••°°°°°••••••°°°°°°°•••••°°°°°°•°°•°••°°•°••°••°••°° MAMBO MATATU YAKUSHUGHULIKIA KWENYE URAFIKI UNAPOKOMBOA. 1:MAWASILIANO YA...