MWANAMAOMBI ZIGATIA HAYA ILI UJIBIWE
✍🏾✍🏾Mambo Yakuvaa moyoni KWA Mwanamaombi ili Apambane mapambano yenye kuleta majibu✍🏾🌴👇🏾 Mwanamaombi inatakiwa zigatia haya ndio dirii na siraha yako yakivita. 1;Usizini 2!Samehe na achilia 3;Soma neno LA MUNGU 4!Ita damu ya Yesu 5!Omba toba naombea toba waliokukosea 6!Mkaribishe Roho Mtakatifu 7! Upende watu wote bila kuagalia yukoje 8!Mbebe asiyejiweza kuomba 9!Inua Huduma na kuipanda nduniani na kuomba watenda kazi waaminifu 10!Linda madhabahu ya Pale MUNGU alipokuweka 11; Mheshimu MUNGU na Baba yako mlezi hapo Msikilize na kutii kufata Aelekezavyo Yeye 12!Usiwe MTU WA udhaifu 13; Usichoke au kurudi nyuma ujiugapo na kikundi hiki 14; Tukeshe na Kuomba kila siku Amri zinazotumika 1:Tuma jeshi LA malaika WA vita likiongozwa na mikaeli Natuma natuma malaika WA vita wakashike njia zote za wachawi nafunga njia zao midawa yao....endelea kadiri maneno yajavyo 2!Jiamini Na usiw...