Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 2, 2026

MISTARI ya KUSOMA USIKU WA MANANE Katika MAOMBI

      MISTARI YA KUSOMA USIKU HUU TUNAPOINGIA MAOMBI YA USIKU WA MANANE TUNAANZA SAA SITA USIKU MPAKA SAA KUMI ALFAJIRI KILA SIKU.  Group:MAOMBI NA MAFUNDISHO Admin;Pastor Richard.  WhatsApp Kujiunga+255710889892       Yeremia 33:3    Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.          Kutoka 34:13     Bali utabomoa madhabahu zao, na kuvunja-vunja nguzo zao, na kuyakata-kata maashera yao.         Kutoka 14:14  Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.        2 Wakorintho 10:4   (maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;)        Kumbukumbu la Torati 28:7    Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia Saba.       ...