Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba 7, 2020

SOMO: FURAHA NDANI YA NDOA

SOMO: JINSI YA KUFANYA UWE NA FURAHA MAISHANI Mwako Karibuni Wanandoa Tuongee+18 Naitwa Mwalimu Wa Wanandoa (Pastor Richard) Mithali:15;8-22 Nehemia;12:16-18  Luka:15:7 MAMBO YANAYOKUFANYA UWE NA FURAHA NDANI YA NDOA YAKO. B 1:SAMEHE. Kiukweli huwa vitendo vingine ndani ya ndoa kuvi vumilia huwa kazi au tu katika maisha ya Jamii iliyotuzunguka Hali Ambayo huondoa furaha ndani Yetu nakuweka huzuni na chuki Kati yetu lakini ukiwa na moyo wa Kusamehe Utakuwa nafuraha. 2:CHUKUA MADHAIFU YA MWEZAKO UYAFANYE YAKO SIO UMCHUKIE. Mkeo au Mmeo unapomuona Anakosea kosea elewa kuwa hicho kinachomkoseha huitwa udhaifu sio kweli Kusema Mmeo au Mkeo akakufanyia Kitu hicho milele asibadilike elewa Atabadilika tu na Atakuja kuushinda huo Udhaifu Ukiishi na watu Wachukulie Kama walivyo usipende Kuyaweka moyoni MADHAIFU Ukaona Kama Anafanya kwa Kusundi.Utaishi na Furaha. 3:JIKUBALI WEWE NI PEKEE NDIO MAANA UMEOLEWA  AU UMEOA. Usipende Kujiliganisha ndoa yako au maisha yako na mtu mwing...