Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba 8, 2023

SOMO:NGUVU YA MAOMBI YA KUOMBA KATIKA ROHO MTAKATIFU

SOMO; NGUVU  YA KUOMBA KATIKA ROHO MTAKATIFU. Vitabu: rejea Warumi:8:26 Waefeso.6:18 Kuna Watu Wanaweza Wakawa Wameelewa Namanisha Nini KUOMBA KATIKA ROHO Lakini Wegine Wanaona Kichwa cha Somo tu na hata hawaelewi hata hawajawahi Kuhisi nguvu na mtetemeko WA Roho Wakiwa Katika Kuomba. KWANZA UJUE ROHO MTAKATIFU NI MUNGU  MWENYEWE ndiye Anayekufundisha Kuomba na Kukuongoza Katika Wokovu wako.  Leo Tunataka Tujue Ili Mungu Tuweze Kumfikia Lazima Tujue hili. Kuomba katika Roho Mtakatifu ni Nini? Nikuomba Maombi Yenye hisia za Kumfikia Mungu na Kuwa Connect naye mfano nichukue mauganisho ya umeme yanavyoleta nguvu ya UMEME KUTOKEA Mwanga Ambayo huuganishwa. Nawewe Maombi Yako Ili Yawe Connect Lazima Ujue Kujiugamanisha na Unakiomba. AINA TOFAUTI ZA MAOMBI YA KUMFIKIA MUNGU AOMBAYO MWANADAMU. Watu Wamekuwa na Aina tofauti tofauti za maombi ambayo Yanatusaindia Tumfikie Mungu Kutokana ROHO MTAKATIFU kuwafunulia kwa karama zao mbalimbali za uombaji. 1:MAOMBI YA KUTAFAKARI. Haya ...