Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari 14, 2021

SOMO:NATAKA MUNGU ANIJIBU

SOMO; MIMI NATAKA MUNGU  ANIJIBU NIFANYAJE 2021.? Je ulishawahi Kujiuliza Swali Kama Hili Kuwa Nimekuwa nikiona Shuhuda mbalimbali Watu wakitendewa na Mungu Akijibu nikisoma maandiko Naona Mungu alijidhihirisha Kwa viwango vikubwa kwa kina Elia Musa Yesu Na Kina shadrack Na wezake Unafikiri kwanini kwako humuoni Karibu Somo Hili au muongozo wa Kumgusa Bwana Naitwa Bishop Richard Tusome👉🏿👇Luka:8:45-47 👉🏿Yakobo;2;21👉🏿Mwanzo;12👉🏿1Wafalme;18;25-40 MUNGU huwa ananjia au Fomula Yake Ukitaka umguse mpaka nguvu zake azielekeze Kwako huhitaji muda wako na Kujitambua wewe Ni mwanae kwake Mpango na Kusundi lake Ndani Yako Ni Kukubariki nakukuinua Sasa utafikiaje hatua hii ya Kumgusa Bwana nakuinuliwa huwa TUNAITAJI TUMGUSE BWANA NA KUMFANYA TUMFANYE USO WAKE ATAZAME. MAMBO MAWILI TU HUWA CONNECTION YA KUMFANYA MUNGU AJIBU Mfumo huu ulivyo hata Watu Wa Shetani Wanayoconnet mbili tu. A: MADHABAHU        1 wafalme;18;25-37 Madhabahu:- huwa Ni Mahusi...

Darasa la ndoa

DARASA LA WANANDOA✍️✍️MAMBO YA KUZUNGUMZA KAMA WANANDOA. Naekuletea Darasa Hili Ni Mwalimu Wa Wanandoa Pastor Richar Wanandoa Wanapishana Kauli na Kukosana ndani Kwakuwa Kila mmoja Anakuwa hazingatii Maisha ya ndoa ndani ya NYUMBA Karibu Tufunzane nakujengana Ndoa Zetu. NDOA HUJENGWA KATIKA MISINGI YA MUNGU NA HUTAKIWI UOLEWE AU UOE KWA KUBAHATISHA AU KWA TAMAA YA KIGONO Mambo haya Wanandoa Hutakiwa Kuyazingatia Mambo matatu la nne utaongeza hapo mwanandoa. 1;Kusikilizana Nakuwa Makini mwezako anapoongea Siyo Anaongea Upo na Mambo Yako Wanandoa Wengi waliopo Kwenye ndoa hasa Kundi la Wababa hupenda Kusikilizwa Tu wao lakini wao Kusikiliza maoni ya wake Zao huwa ni kazi na hii husababisha ndoa nyigi Uchumi wake ushuke Wasipinge hatua nakuvunjika kwa ndoa👉🏿👉🏿Wewe Ukioa Usioe Kwa Kuwa unataka uonekane kwa Watu owa ukiwa umejipanga Kuingia Maisha mapya utakayotakiwa ndani Kama Wanandoa msikilizane Yakobo;1;19 2:MSIDANGANYANE ...