SOMO; NGUVU YA MAMLAKA
SOMO ; NGUVU YA MAMLAKA ILIYOMO NDANI YAKO INAVYOAMUA HATIMA YA MAISHA YAKO Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro veta Dakawa WhatsApp Number+255759861768 Jumapili Tar 9/1/2022 USHUHUDA Kasemwa alikuwa mtu anayeteseka na Maisha ya magonjwa magonjwa akawa amefika Kanisani H.i.v inamtesa nikamuuliza H.i.v uliipataje akasema Babs Mimi sijui nikamwuliza Nini Tena kinachokusumbua akasema mahusiano Yangu Yanashinda kila mwanaume naye mpata anakuwa Tayari kwenda Kutoa mahari lakini Mimi naongopa kwenda kupima Ndipo nilipoiona MAMLAKA YA UKIMWI Inavyomuendesha 1;Ameipa nafasi mamla ya h.i.v ikae ndani Yake 2:Anataka mamlaka ya Afya iondoke ndani Yake lakini hajui aliipaje Mamlaka hayo nayo inangoma kuondoka 3;Inaanza Kumpangia Wewe hutaolewa Sababu Mimi H.i.v nipo nawe nimekuoa 4;Anaikumbalia Kasemwa anakaa Singo kisa ile mamlaka ya ukimwi IPO Afsnye Nini Sasa Lazima Ajue aliipaje nguvu Kubwa H.i.v Iwe na mamlaka Makubwa ndani Yake Kisha aseme nitaolewa na sitameza dawa au kuisi...