SOMO:IJUMAA KUU
SOMO:IJUMAA KUU Yohana;19:31-42 Ijumaa Kuu :-Ni Maandalizi ya kuelekea kukamilisha Wokovu kwa wanadamu. IJUMAA KUU IMEGAWANYIKA SEHEMU KUU TATU. 1:MATESO YA BWANA YESU. Hii inatukumbusha mateso ya Bwana Yesu. Yohana;19;27-37 2:KIFO CHA BWANA YESU. Hii Inatukumbusha Kifo na Kuzikwa kwa Bwana Yesu. Yohana;19;38-42 3:UPENDO WA BWANA YESU. Hii Inatukumbusha upendo mkubwa kwa Bwana Yesu Kwetu. Yohana;3;16 Ijumaa kuu ni siku muhimu kwetu wakristo kutafakari na kuona Yale Aliyoyatenda Bwana Yesu.