SOMO: NGUVU YA KUMLEA MTOTO KATIKA NJIA YENYE FAIDA
SOMO; NGUVU YA KUMLEA MTOTO KATIKA NJIA YENYE FAIDA. UTANGULIZI Habari Mpendwa Na mfatiliaji wa Website hii ya Moto wa Yesu Kwa Majina Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro veta Dakawa Leo Nataka Tuponyane Kwenye Malezi ya Watoto Wetu Karibu Unifatilie Kwa Utulivu Mwaadaaji wa Somo; Roho Mtakatifu Muwasilishaji Pastor Richard Njia ya Kukufikia www.mchungajirichardi.blogspot.com FB; Kanisa la Moto wa Yesu MAANA YA MALEZI NI NINI? Maana Yake Ni Mchakato na maadalizi ya kumwadalia Mwanao Mazingira mazuri yatakayomfaa kiafya kiakili na makuzi Yake Baada ya kumzaa. UTOFAUTI KATI YA MZAZI NA MLEZI. MZAZI Ni mwenye mtoto aliyemleta duniani lakini Unaweza Ukawa na Nguvu ya Kuzaa ukashindwa Kulea Watoto lakini wapo