Mambo matano mhimu ya ndoa
🎙️🎙️🎬SOMO; MAMBO MATANO UYAZINGATIE KABLA HUJAINGIA KWENYE NDOA🎙️🎙️ DARASA la Wanandoa MWALIMU wa Wanandoa Pastor Richard NIPO Morogoro veta Dakawa Tumekuwa Tunaona Vijana wengi au watu wengi wanakimbilia Kuoa au Kuolewa Kwa Kuangalia ndoa kwa nie wanapoingia kwenye ndoa wanaanza kutamani wavunje ndoa Kijana Sikia Usikimbilie Kuoa Kama haya bado hujayadhibiti. 1;Hasira Dhibiti Hasira ZaKo na ujifunze kusamehe Unakimbilia Kuolewa wakati bado Hasira hujaidhibiti ndoa Yako itakuwa na shida tu Hasira haina shukurani inajua kuharibu tu. 2:UKOMAVU WA AKILI. Ndoa inajengwa kwa AKILI sio Elimu Yako au Urembo au Sura au Mapishi Akili Yako inauwezo wa kutatua haraka na kumwelewa haraka Mwezako au Akili Yako bado ya kitoto haijui kutatua changamoto na kujicontro Basi Tulia usioe au Kuolewa mpaka akili ikikomaa ikajua changamoto 3;ACHANA NA MAWASILIANO NA WAPENZI AU MARAFIKI WALIOKUWA WANAKUSUMBUA.(USIZINI) Kijana unat...