Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 4, 2022

MAOMBI YA KUFUNGA NA KUOMBA IJUMAA

SOMO;MAOMBI YA KUFUNGA KILA IJUMAA  WANAGROUP WOTE TUNAKUWA TUPO MAOMBI. •••°°°°°°°•••••••°°°°°°°°••••••▪︎▪︎▪︎▪︎ Yoeli 2:12 [12]Lakini hata sasa, asema BWANA, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuomboleza Karibu kama wewe ni mgeni katika Group Tunakujulisha group linaratiba ya maombi ya kufunga na kuomba kila ijumaa maombi haya ya kufunga hukamilishwa na Sadaka Ambazo Tunazituma katika madhabahu hii ya Moto Wa Yesu Kama itakavyoelekezwa. Faida za kufunga maombi ukiwa na Sadaka  1;Kutii maelekezo ya Mungu ambayo alituambia kila ijumaa tunafunga na Sadaka kama hauna bora usifunge kwa kuwa hapokei maombi yasiyo na Sadaka. 2.Sadaka hukamilisha maombi yetu yawe na nguvu ya kusikilizwa na kupewa kibali kwa Mungu ya kujibiwa. 3 Sadaka Humshawishi Mungu kuyapa uzito maombi yako. 4.Utaweza kuwa unavushwa katika maombi ya kufunga kwa sababu unajua jinsi ya kufunga ukiwa na Sadaka.  Kinyume cha haya ni mtu asiyetoa Sadaka katika madhabahu aliyof...