Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 4, 2026

MAOMBI YA USIKU WA MANANE 2026/3/4

Group: MAOMBI NA MAFUNDISHO Admin Pastor Richard Wa Morogoro WhatsApp group Jiunge+255710889892 HATUA ZA KUOMBA USIKU HUU WA MANANE Mwal:Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Kanisa la Holy Spirit  Maandalizi ya Kiroho πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ ​Kabla ya kuanza, hakikisha umetubu na kusafisha moyo wako. Waefeso 6:12 inatukumbusha kuwa vita vyetu si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka. ​πŸ”₯ Maombi ya Vita vya Kiroho ​1. Kujifunika kwa Damu ya Yesu ​"Baba katika jina la Yesu Kristo, naja mbele zako usiku wa leo. Ninajifunika mimi, nyumba yangu, na familia yangu kwa Damu ya Yesu. Ninachora mstari wa moto kuzunguka mipaka yangu; adui asipate nafasi ya kupita. Damu ya Yesu iwe kinga na ukombozi wangu usiku huu wote." ​2. Kubomoa Mitego ya Adui ​"Ee Bwana, kila mtego uliotegwa na adui gizani kwa ajili ya usiku wangu, ninaung'oa kwa jina la Yesu! Kila kikao cha wachawi, waganga, au mamlaka za giza kinachopangwa dhidi yangu, kikasambaratike kwa Moto wa Roho Mtakat...

TAFISIRI YA NDOTO

SOMO:NDOTO MBALIMBALI NA TAFISIRI ZA NDOTO WALIZOOTA WATU AYUBU:33:14-15 NDOTO ni Taarifa Ambayo Mungu Anakujulisha jambo lilopo au linalokuja au lilishatokea.  Usipuuze NDOTO maana unaweza ukawa unapewa Taarifa Muhimu Sana.  Karibuni NDOTO hizi Zimetafisiriwa na Pastor Richard Wa Morogoro Mungu Amempa Neema kubwa Sana Ya kufasiri maono na ndoto 1;GROUP: MAOMBI NA MAFUNDISHO Admin:Pastor Richard Wa Morogoro WhatsApp Group Jiunge +255710889892        IJUE TAFISIRI YA NDOTO YAKO                   AYUBU:33:14-15 .Shalom mtumishi wa Mungu Pastor Richard Naitwa Magreth Nipo Pwani Nimeota nipo na wenzangu darasani mwalimu anafundisha Mimi nilikuwa siandiki Sina peni ila badae nikanunua peni najuanz kuandika uku nikifurahi sana                 TAFISIRI YA NDOTO ​Ndoto yako inaonyesha hamu yako kubwa ya kujifunza na kukua kiroho.     UCHAMBUZI WA NDOTO 1:​Darasa...