Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 14, 2021

SOMO: SAUTI

SOMO : SAUTI UNAYOISIKIA NI YA NANI NDANI YAKO _____________________________________________________ _____________________________________________________ Tufunue Vitabu: Hesabu:7:89 Kumb.Torati:1:45👉5:22-30 1wafalme:19:12-14👉Kutoka:4;1-8👉Isaya:40:1-10 Huwa Kuna Sauti Nyigi Ambazo Unaweza Kusikia Ndani Yako na Katika Mazingira lakini inatengemea wewe Sauti Ipi Unaifata Kati Ya Hizo Maana Zingine Zitakukumbusha maovu yako Zigine Hazitakuwa na maana utasikia Sauti Zigine Zitakuogoza Usipotee Zigine Hazitakuwa na Maelekezo Zigine zitakupotosha Zigine Zitakuamuru Usiende Kanisani. Kuna Sauti Moja TU Yenye FAIDA Kwako nayo Ni Sauti Ya MUNGU. Ili Uweze Kuelewa Sauti Ya MUNGU Unapaswa utulie Sababu Sauti ya Mungu huhitaji Utulivu Unapoisikia Sauti Inayokuamrisha Utende kitu Chochote Kwa Amri ndani Yako Ujue Ni Shetani na Puuza Sauti inayotaka ikuendeshe. SAUTI HUWA NDIYO INAMUOGOZA MTU KUTENDA CHOCHOTE ATAKACHO SAUTI YOYOTE ITAKAYO KUWA INAKUAMRISH...

SOMO; ACHA KISINGIZIO KWA BWANA

SOMO; ACHA KISIGIZIO KWA MUNGU Tufunue Kitabu Cha KUTOKA;4;10-31 USHUHUDA Mtu mmoja Alifika Kanisani nikapewa ujumbe kuwa Yeye Ni Mtumishi wa Mungu Mkubwa nikamuelekeza Cha Ajabu yule mtu alisema Mimi mbona natumika Kanisani Kama Shemasi wa Kanisa nikamwambia wewe unatakiwa utumike Kama mchungaji Okoka usali makanisa ya Kiroho yatakufungua Sasa hivi Ni mchungaji Mkubwa Lakini mpaka akatumike kwake alikuwa na Visingizio Vingi Mimi Sina hela Ya Kujenga Kanisa Sasa Ni Mtumishi mwenye Kanisa Kubwa. Inawezekana Kabisa nawe ulishaambiwa UMTUMIKIE MUNGU MPAKA LEO HUJAFUGUKA KWENDA KUTUMIKA KAMTUMIKIE MUNGU. KISIGIZIO KWA MUNGU NINI👉NI Kuleta Ugumu Mbele Za Mungu au Kuwa na Sababu. KUNA MAKUNDI MAWILI YA KISIGIZIO 1; KISIGIZIO KWA MUNGU KINACHOTOKANA NA MAZINGIRA 2: KISIGIZIO KWA MUNGU KINACHOTOKANA NA AFYA KISIGIZIO KWA MUNGU KINACHOTOKANA NA MAZINGIRA. _______________________*_________________*_________________ Hii Huwa inalenga mtu anaanza Kuleta Ugumu wa Kwenda Kumtu...