Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 4, 2021

SOMO WANANDOA MPATANE

              DARASA LA WANANDOA SOMO👉🏿 WANANDOA MNATAKIWA KUPATANA. Mathayo:20:13 Marko:14;56 Mithali:9;9 KUPATANA Ni Kuelewana kwa Wanandoa Ili muweze kuishi vizuri ndani ya ndoa huwa MNATAKIWA mpatane Kwa haya Naitwa Pastor Richard Mwalimu wa Wanandoa Somo Hili linahusu miaka 18-60 1:KUPATANA KWA MIPANGO YENU Mipango Ni mikakati yenye Kuleta Maendeleo na kuifanya ndoa Yenu Iwe na Msingi mzuri wa Maendeleo nakuinuka Kiuchumi. 2: KUPATANA KWA MATUMIZI YA PESA Wanandoa MNATAKIWA mpatane katika matumizi ya Pesa nakudhibiti matumizi yasiyo ya lazima kuweka bajeti Yenu  Na Kupangilia Nini mfanye Nini msifanye kwa muda huo. 3: KUPATANA KWA UZAZI. Mnatakiwa Wanandoa mzae Watoto mtakaoweza Kuwalea nakuwatuza Vizuri msizae tu Watoto bila mpagilio au kuangalia Uwezo wa kuwasomesha na kuwatunza 4:KUPATANA KWA IMANI. Wanandoa MNATAKIWA mpatane maswala ya imani kila mmoja awe huru kuweka wazi kadiri Im...

Madhara ya Dawa Ya P2 Yakuzuia Mimba

DARASA LA WANANDOA SOMO: MADHARA YA KUTUMIA DAWA YA KUZUIA MIMBA P2 Kuna Dada mmoja alinifata inbox nakuniomba nifundishe Madhara yanayotokana matumizi ya P2 Mithali : Mlango 9 9 Mwelimishe mwenye hekima, naye atazidi kuwa na hekima;Mfundishe mwenye haki, naye atazidi kuwa na elimu Haya ni Madhara ya Kutumia Dawa za Kuzuia Mimba (P2) Watu wegi hasa vijana watakuwa wanafahamu dawa ambazo hutumiwa sana kuzuia ujauzito pale ambapo wapenzi wamejamiiana ndani ya siku za hatari. Dawa hizi zipo za aina nyingi kama vile, P2, Morning After Pill na kadhalika. Endapo wawili hawa wanakuwa hawapo tayari kupata mtoto, na wanaona kwamba siku walizojamiiana zitapelekea mwanamke huyo kutunga mimba, basi anaweza kutumia p2 ambayo inaharibu mazingira au uwezekano wa mimba kutungwa. . Dawa hii Wanaume na Wanawake wengi watakuwa wanaijua nataka nifundishe Yamkini nawe Upo unanifatilia umekuwa ukimeza dawa Hizi Usielewe Zinamadhara. MADHARA YA DAWA YA KUZUIA KUTUNGWA KWA MIMBA P2 1;Madhara Ya Kwanz...

MAMBO 30 YA KUFANYA NDOA IWE NA FURAHA

" NITAKUFUNDISHA NA KUKUONYESHA NJIA UTAKAYOIENDEA ,NITAKUSHAURI JICHO LANGU LIKIKUTAZAMA ZABURI 32:8 " MAMBO 30 YANAYOWEZA KUBORESHA NDOA YA MKRISTO MBINU 30 ZA KUFANYA NDOA IWE YENYE FURAHA NA AMANI 1. KUFAHAMIANA /KUSOMANA VIZURI (Knowing self and knowing your partner) Mhubiri 4:9-12 Afadhali wawili kuliko mmoja maana wapata ijara njema kwa kazi yao Ebrania 13:4 Ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi Kila mwanandoa anapaswa kujitambua kwanza halafu atambue mambo mwenzi wake anayoyapenda na mambo asiyoyapenda  1.      KUSHIRIKIANA,KUPATANA,KUKUBALIANA,KUGAWANA (SHARING ,COOPERATION) Wenzi wa ndoa wanatakiwa kushirikiana katika mambo yote siyo kushindana (Cooperation not competition) Wanashirikiana katika:  a)Mipango ya pamoja : Bajeti Matembezi Aina ya uvaaji Chakula –kula pamoja ,ratiba ya chakula ya pamoja Vinywaji Mapato na matumizi Kulea watoto Miradi Biashara Kazi b)Kusaidia familia zao za pande ...