Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 29, 2023

Maombi ya kuvunja agano la kitovu

 .SOMO:MAOMBI YA KUVUNJA AGANO LA KiTOVU Kuna maagano hufanywa katika ulimwengu wa roho hasa unapozaliwa wapo watu wanateseka Leo kuumwa matumbo kumbe chanzo ni Agano la kitovu ambalo lilifanywa Pasipo wewe kujua.        Mstari wa kusimamia            2 WAKORITHO:10:3-6 1;Yesu Kristo Mnazareti ninakuja mbele zako siku ya leo ninavunja kila agano lililosimama kinyume na wewe katika Maisha yangu,liniachie Leo kwa Jina la Yesu.Amen 2.Kila agano la ndoa lililofanyika kwenye ndoto nilipovishwa pete nalivunja,pete hiyo naichoma kwa moto wa Roho Mtakatifu.Agano hilo la ndoa limekosesha ndoa yangu amani,limefanya nisipate mwenzi sahihi,Kwa uhalali wa Damu ya Yesu nalivunja Leo .Amen 3.Kila agano lililosimama katika Maisha yangu Kupitia viungo vyangu vya mwili au chochote changu kilicho pelekwa kwenye nyumba za waganga.Iwe ni kitovu changu,unywele wangu wa kwanza ulionyolewa nilipokuwa mchanga,iwe Ni kucha zangu,nguo zangu,kalamu yangu,mchan...

SOMO: NAFASI YA MWANAMKE KIBIBLIA

SOMO: NAFASI YA MWANAMKE KIBIBLIA             UTANGULIZI  Mungu hakumwumba mwanamke kwa bahati mbaya au makosa,kila ambacho Mungu alikifanya ,alikifanya kwa kusudi.kwa lugha nyingine kila ambacho Mungu alikifanya maana yake moja kina nafasi mbele zake na mbili kuna wajibu ambao Mungu aliweka ili utekelezwe na hicho kitu. Lengo la ujumbe huu ni kukueleza nafasi ambayo Mungu amempa mwanamke katika kanisa,jamii,nchi,ndoa na nk na wajibu wa yeye kutekeleza katika nafasi hiyo:- Karibu Ninayekuletea Somo hili Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp +255759861768 HAYA MAMBO YANAMJULISHA NAFASI YA MWANAMKE KIBIBLIA.  1. Mungu anamtazama mwanamke kama msaidizi wa mumewe .  Mwanzo 2:18 “Bwana Mungu akasema si vyema huyo mtu awe peke yake,nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye”. Tangu kuumbwa kwa Adam,mpaka Mungu kumletea Eva inasemekana miaka mingi ilipita hapa katikati.Sasa tunajua katika ile sura ya kwanza na ya pili ya kit...

somo:maombi ya kujikomboa na roho za ukoo

SOMO:JINSI YA KUOMBA KUJIKOMBOA KWENYE ROHO ZA MIZIMU NA UOMBAJI WAKE  🏇🗣️🧗 Omba kama ulivyoelekezwa Karibuni Katika Maombi Haya  na maelelezo yakuomba Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta dakawa Simu Piga Jioni Saa 12:00 Jioni Kwa Msaada Zaidi na maelekezo  WhatsApp inbox+255759861768 MSTARI WA KUSIMAMIA AU NENO LA KUDAI HAKI YAKO Wagalatia : 6:5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe UFAFANUZI WA MAOMBI HAYA HASA NENO👉🏿MIZIMU Mizimu Ni Nini,,?Ni Roho za Ukoo Inayoishi na mtu ndani Yake kwa uhalali ya kudai ukoo wake inaanza Kupata nguvu Kutoka kizazi Cha nne ukihesabu Kutoka ulipo  Mfano :Richard Ni mimi 👉🏿Julius Ni Baba 👉🏿Linda Ni Baby 👉🏿Kushoka Ni Ukoo wangu.  ▪︎Kushoka ▪︎Ndiyo ukoo aliyeshika ukoo Huyu Jinsi Alivyokuwa yeye huweza kumwigia kila mwanaukoo wake nakudai aishi nakuhagaika Kama hii roho itakavyo Huyu Kama alikuwa chifu lazima kwenu watapatikana viongozi Kama alikuwa mganga lazima kwenu watapatikana waganga Kama kwenu huw...