SOMO:SADAKA YA KUTEKETEZWA
SOMO: NGUVU YA SADAKA YA KUTEKETEZWA Tufunue Vitabu; Mwanzo;22;2_13 Kutoka;29;18-42, 1SAMWELI;13:5-15 UTANGULIZI Hii ni Sadaka inayotolewa na mtu mmoja mmoja haitolewi kwa kikundi au kifamilia Inapotolewa mtu huyu anakuwa na tatizo lilomshikilia miaka mingi Ameombewa Sana Ametoa Fungu la Kumi hiyo hali haijamtoka hupaswa atoe Sadaka ya Kuteketezwa katika madhabahu yake nakupewa muongozo wa kuiombea hiyo Sadaka. MAANA YA SADAKA YA KUTEKETEZWA= Ni Sadaka inayoenda kuteketeza maangano miungu na magonjwa na uharibifu ambao mwilini au katika maisha yako Ulifanyika. Mfano:1 Mungu alipoona watu wanazidi kutenda dhambi na kila mtu yupo na mawazo ya dhambi aliamua atoe Sadaka akamtoa mwanae Yohana:3:16 Hali iliyokuja kuleta upatanisho na Mwanadamu. Mfano:2 Elia alipoona Miungu ya Baahari imetawala kwenye taifa lake na eneo lake alitoa sadaka ya kuteketezwa akauwa miungu yote nataifa likamjua Mungu 1Wafalme:18;20-46 UMHIMU WA SADAKA YA KUTEKETEZ...