SMS NZURI ZA WANANDOA
✍️✍️SMS NZURI ZA MAHABA ✍️Darasa la WANANDOA ✍️Mwalimu Wa Wanandoa Nipo Morogoro Veta Dakawa SMS ya kumshawishi mtu kuwa una upendo wa dhati moyo upendao kwa dhati. haujalish ni kababu au chapat. n wng wa upendo wenye tarakimu kama somo la hisabati. kumpata akupandae kwa dhati pia hyo n bahati. nimfikiriaye kwa sasa nahc anaupendo wa dhati. Nitashukuru anikaribishe naye nimuonyeshe upendo wa dhat. Huu ni ukaribisho wa penzi la dhati. wenye wing wa furaha na Lenye pendo la kitanashati. 🔥♥♥♥ SMS ya mapenzi ya mahaba kwa mpenzi wako aliyeko mbali Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha, mimi si ‘Supamani’ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchi nyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipata hiyo? Pokea mapenzi yangu japo uko mbali. 🔥♥♥♥ SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa penzi lako kwake ni la kipekee Anayekupenda ni mimi,watakaokutamani ni wengi,tafuta dunia nzima penzi langu la kweli huwezi kulipata,penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki. 🔥♥♥♥...