Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 4, 2023

SOMO; KUSIFU NA KUABUDU

SOMO: SIFA NA VIGENZO VYA MTU WA SIFA NA KUABUDU KANISANI Hizi sifa zinalenga watu wote wanaokuwa wanatuongozea sifa na kuabudu kanisani Kuna Vincenzo Mungu huvitazama ili ashuke katika ibada ya kusifu na Kuabudu Karibu nakala hii imeandaliwa na mtumishi wa Mungu Pastor Richard yupo Morogoro Veta Dakawa WhatsApp yake mfate inbox +255759861768 sifa zifuatazo Za Mtu Anayemuabudu Mungu 1) Anakiroho kizuri/ameokoka vizuri –(Yoh4:23, Yak2:19) 2) Awe na kiu ya kumjua Mungu –msomaji wa Neno, mwombaji, mshuhudiaji na anaukulia wokovu (1Pet2:2, Mith8:17-kumtafuta Mungu kwa bidii) 3) Awe na wito (1Kor12:28-maongozi, Efe4:11-15, kila kiungo kufanya kazi yake ,Mith17:8- kipawa/kito cha thamani ) 4) Ajitoe sadaka (sacrifice) (Rom12:1)/Moyo safi ,mikono safi ,unyofu wa moyo –Zab.24:3-4, 33:1, 51:17, Isa57:15,66:2b , 5) Aishi maisha matakatifu (hana udunia wala haleti udunia kwenye ibada)-Mtakatifu /aliyetakaswa/mtauwa –Zab149:5, Ebr13:15, Yoh13:3-10, 1Yoh1:9. 6) Dhamiri safi –Ebr10:22  7) Unyeny...