Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari 28, 2021

SOMO: KANUNi ZA KUENDESHA UHUSIANO

SOMO: KANUNI 7 ZA KUENDESHA UCHUMBA WAKO. πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏKaribu Katika Darasa la Wanandoa Na Mahusiano Leo hii Nataka nifundishe Jinsi Ya Kuendesha Uchumba Wako Kwa Wale mliopo Kwenye Uchumba mlio na malengo ya Uchumba wenu Kufika Mbali Basi SOMO Hili linawalenga Mtulie msome Kwa Umakini Kwa UTULIVU. UCHUMBA NI NINI? nipatano la watu wawili Jinsia ya Kiume na Kike linalowapeleka Kuanza Maisha ndoa na Uchumba huwa umeshatambulika kwa wazazi Kama haujulikani huo uitwa Urafiki.. MNAPOFIKIAGA Kwenye Uwe umeamua mwenyewe na usiingie kwa kuiga Shuhuda kwa Kuwa unaona wezako wanaolewa hapana Tulia kabla hujaingia ili Kuepuka maumivu na majeraha kwenye moyo wako Sababu ukikosea utaumizwa nakusalitiwa. Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Karibu UJIFUNZE mbinu za Kuendesha Uchumba Wako mpaka ukafikia ndoa. πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏMAMBO YAKUZINGATIA KUENDESHA UCHUMBA WAKO ILI USIVUNJIKE AU KUISHIA NJIANI  FANYA HAYA. A:Ruhusu Mungu Akupe MKE/MME Usiruhusu Akili Zako Zikupe MKE/MME.πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ₯¦?...