Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 2, 2022

SOMO;Hizi Sifa Za Mwanamke Mwema

SOMO:HIZI NDIYO SIFA ZA MWANAMKE MWENA NA MWENYE HOFU YA MUNGU  Mwanzo;2;23-25 Mithali;14;1-5 Mithali;30;10 Ninaitwa Pastor Richard NINAKUKARIBISHA KATIKA ELIMU HII NA MASOMO YA WANANDOA NA MAHUSIANO  NATAKA NIONGELEE SIFA ZA MWANAMKE ANAEFAA KUOLEWA NA WAKUISHI NAE KATIKA MAISHA ATAKAEFANYA MAISHA YAKO YA FANIKIWE HII NI KWA VIJANA AMBAO HAWAJAOA  KARIBUNI  FB; TAFUTA KANISA LA MOTO WA YESU UJIUGE Kusamehe Ni vigumu kuwa katika uhusiano halafu uwe hauna moyo wa kumsamehe mpenzi wako. Kawaida katika mahusiano, huwa kuna changamoto kadhaa ambazo hujitokeza hivyo lazima uwe na tabia ya kuweza kusamehe. Hii inaweza kuanzia kukosana kwa mambo ya kinyumbani, ama mambo mengine yanayofanana. Mwanamke mzuri ni yule ambaye ana uwezo wa kumsamehe mpenzi wake bila kuweka kinyongo. Iwapo mpenzi wako umemshika katika fumanizi nk na bado unampenda, basi jambo zuri la kufanya ni kumsamehe na kuendelea na maisha. Msikilizaji mzuri Mara nyingi migogoro ambayo inatokea majumbani kati ...