Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 18, 2023

SOMO. Tabia za Mkristo wa Kweli

SOMO:TABIA ZA MKRISTO. . Tunaposema Tabia Mienendo Ya Mkristo Unapokuwa huna Tabia hizi Halafu Unatuambia wewe Mkristo Unatupa mashaka Sana Ambao ni Wakristo. Kuna wegine hata wakikutana na mchungaji wao wanamuita mtumishi  au Baba mchungaji Au Mchungaji hana Ujasiri wa kuita Baba kwakuwa hana Sifa na Tabia za Kikristo Mchungaji Yoyote anayekulea kiroho Haijalishi awe mdogo kwako au mzee muite Baba Hii ndiyo Sifa Ya ukristo Baba Si Kwamba unampa utukufu heshima kama amri ya Nne waheshimu Baba na mama upate miaka mingi heri na Baraka nyigi zipo kwa wazazi wa kiroho. Naitwa Pastor Richard Nakukaribisha Somo hili Soma Kwa Utulivu na Kwa Umakini  Poiti hizi 1:Awe mtu wa Kuhudhuria ibada. Waebrania:10:25 Huwezi Ukajiita Mkristo halafu kanisani huendagi Hapana huo siyo ukristo ni upangani wa kiroho.  2:Awe mtu wa ibada nyumbani Kwake. Matendo.5:42 Huwezi Ukajiita Mkristo halafu Usiwe mtu wa Ibaada nyumbani Usiku ukifika nyumba haina ibada kila mtoto anaenda kulala hamjafanya ib...