Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 3, 2020

✍️ SEMINAR ✍️ TOPIC; MAOMBI ✍️VETA DAKAWA 2020

Picha
      DARASA LA MAOMBI Soma kozi hii buree      Course Ya Maombi SEMINAR :✍️πŸ‘Š MAOMBI Mwalimu; Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Simu+255759861768 Tufunue Vitabu hivi;2Mambo ya nyakati:7:14-16 1Wafalme;8;38-49 Zaburi;61;1,86;6 1Petro;3;12 SOMO HILI AU WALAKA HUU UNASURA "5" A:MAANA YA MAOMBI B; MAKUNDI YA MAOMBI C;SEHEMU ZA MAOMBI D:TABIA YA MAOMBI E: HITIMISHO                      UTANGULIZI. πŸ‘Š✍️SIKU YA KWANZA; Tarehe 3/8/2020 Jumatatu muda saa;4;00-6;00 AπŸ‘ŠπŸ‘ŠMAANA YA MAOMBI NA UFAFANUZIq WAMAOMBI πŸ‘ŠπŸ‘Š 1:MAOMBI NI NINI??Ni Hali ya uwasilishaji wa Taarifa na maendeleo ya Mtu Kiroho na Kimwili mbele Za Mungu Yenye Kutaka Apewe Majibu na Anachokiomba Nakukiamini. BπŸ‘ŠπŸ‘Š✍️KUNA MAKUNDI MAWILI YA MAOMBI;(WANAPOOMBA) ✍️Kundi la Kwanza Ni la Watu Wanaomuomba Mungu Wasiyemjua ✍️Kundi la Pili Ni la Watu Wanaomuomba Mungu Wanaemjua C:KUNA SEHEHEMU TANO ZA MAOMBI MTU ANAPASWA AZIJUE. 1:AINA ZA MA...

SEMINAR ✍️ Topic MAOMBI

SEMINAR:TOPIC MAOMBI Siku ya Kwanza tar;3/8/2020 Mwalimu Pastor Richard Somo hili la maombi lina sehemu kuu TANO kama zifuatavyo: Aina za Maombi. Style za kuomba. Mbinu za Kuomba. Mikao tofauti ya kuomba. Namna ya kupokea Maombi yako. Tufuatane Ili uweze kujifunza. Usikubali kupitwa na point yoyote. Kwa leo nitaanza na AINA ZA MAOMBI. Hapo kwenye style na mikao ni kama majina yanafanana lakini Kuna tofauti. Tukipata Neema ya kufika huko nafikiri utanielewa. Kitabu cha kujifunzia ni Biblia (Bible is our reference book). Maombi ni nini? Maombi  ni namna ya kwenda katika ulimwengu wa Roho kuadhiri ulimwengu wa Roho na kuleta katika Ulimwengu wa Mwili. Sitaelezea “ulimwengu wa Roho” kwa leo lakini ujue upo ulimwengu wa Roho na huko Ndiko Mungu wetu anapopatikana. Kwa maana nyingine; Maombi ni mawasiliano kati ya mwombaji na Mungu wake. Kwa hiyo fahamu kwamba hatuombi kwa sababu ya matatizo bali ni mawasiliano na Mungu wetu. Yesu hakuwa na matatizo lak...

SEMINAR : MWONGOZO WA KUKUA KIROHO

Picha
SEMINAR  ✍️πŸ‡ΉπŸ‡Ώ:MWOGOZO WA KUKUA KIROHO KWA MKRISTO  Tar;4/8/2020 I. Mwendelezo Mpya: Ni Nini Kinahitajika Ili Mtu Akue? Ni Maom , “Ni nini kinahitajika ili mtu akue? Tuliona kwamba kuijua na kuitii Biblia hakuna mjadala kwamba ni muhimu sana ikiwa unataka kukua hadi kufikia kuwa Mkristo aliyekomaa. Ni matumaini yangu kwamba uliangalia orodha ya mapendekezo yaliyotolewa ili kukusaidia kubobea katika eneo la kujifunza Biblia kwa ufanisi. Natumaini pia kwamba ulichagua nafasi mmojawapo na kuhakikisha kuwa unajitahidi kuweka moyoni kwa wingi Neno la Mungu juma hili na mwezi huu. A. Shabaha: Ujenge Tabia Zinazohitajika Ili Kukomaa Kiroho Aya ya Ujumbe:  2 Pet. 3:18  Lakini kueni katika neema na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na hata milele. Amina. Je, uliwahi kutambua kuwa Mungu anataka ukue? Mungu haridhiki kwamba umempokea Yesu Kristo kama Mwokozi, anataka sasa umfuate na kumtii kama Bwana wa maisha yako. Umt...