Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 6, 2024

SOMO:SIFA ZA MWANAMKE MUOLEWAJI

DARASA LA UCHUMBA  SIFA ZA MKE MUOLEWAJI 🌴👉👉🌴🌴🌴🌴🌴 SOMO: HIZI NDIYO SIFA ZINAZOKUJULISHA HUYU NI MWANAMKE WA KUOWA.  Kila Palipo na Mwanaume muoaji ujue yupo mwanamke mwenye Sifa za kuolewa Ambazo huwa hazipishani Sana na Sifa za Mwanamme muoaji. Ukiona hizi sifa huyo mchumba wako hana ujue siyo mwanamke wa kuowa. Naitwa Pastor Richard Ninayekuletea Somo hili fatana nami. Karibu ujifunze kitu 1:Mwanamke Muolewaji Atakupa Nafasi Ya Kwanza Kwenye Maisha Yake. Mkiwa kwenye uchumba utaona haachi kukujulia hali  atakuwa tayari kufanya chochote Kwa Ajili yako kilicho ndani ya uwezo wake Kwenye Uchumba tu vitu vingi mtaanza kubadilisha nakutengenezana. Ukiona wewe mwanaume unatumia nguvu sana kumfanya awe mke wako ujue sawasawa unataka kubemba Junia la misumari kichwani mwako. Soma Mithali:18:16 2:Mwanamke Muolewaji Anaheshima na Adabu Kwa Watu Wote. . Mwanamke muolewaji utamjua katika uvaaji wake Utamjua Katika Tabia zake Na Mienendo Yake Unapoongea anakuwa makini kukusi...